SHABIKI WA SIMBA AMWAGA MACHOZI KISA SIMBA KUFUNGWA NA MAYELE "KIKOSI GANI HIKI" by @Millard Ayo - Post Details
SHABIKI WA SIMBA AMWAGA MACHOZI KISA SIMBA KUFUNGWA NA MAYELE "KIKOSI GANI HIKI"
Kwenye mchezo wa ngao ya Jamii Leo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC mchezo uliyochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga SC amefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1.