SABABU ZA SIMBA SC KUMTIMUA KOCHA ZORAN BAADA KUFANYA NAE KAZI KWA SIKU 57 by @Millard Ayo - Post Details

SABABU ZA SIMBA SC KUMTIMUA KOCHA ZORAN BAADA KUFANYA NAE KAZI KWA SIKU 57

Club ya Simba SC imetangaza kumfuta kazi Kocha wake Mkuu Raia wa Serbia Zoran Maki kwa makubaliano ya pande zote mbili, Zoran anaondoka Simba SC baada ya kudumu kwa siku 57 toka alipotambulishwa rasmi July 12 2022.

Similar Posts!