AMWAGA MACHOZI.!! Baada ya kupiga goli la kwanza TPL | MTIBWA vs MBEYA KWANZA.. for Mtibwa Sugar - Mbeya Kwanza game - Post Details

AMWAGA MACHOZI.!! Baada ya kupiga goli la kwanza TPL | MTIBWA vs MBEYA KWANZA

Kutana na William Edgar mchezaji kutoka Mbeya Kwanza, ambaye ameweka rekodi ya kupiga bao la kwanza la msimu huu wa 2021/2022 kwenye TPL.

Similar Posts!

Mtibwa Sugar 0-1 Mbeya Kwanza #TPL 2021-22 HIGHLIGHTS
Mtibwa Sugar 0-1 Mbeya Kwanza #TPL 2021-22 HIGHLIGHTS

Mchezo wa kwanza ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2021-22 tukicheza na Mbeya kwanza katika uwanja wa Mabatini Mlandizi, Pwani na mchezo kuisha ...

Highlights | Mtibwa Sugar 0-1 Mbeya Kwanza | TPL 27/09/2021
Highlights | Mtibwa Sugar 0-1 Mbeya Kwanza | TPL 27/09/2021

Timu ya Mbeya Kwanza iliyopanda daraja msimu huu, imekuwa ya kwanza kufunga goli msimu huu wa 2021/22 kupitia kwa William Edgar na kupata ushindi ...

MTIBWA 0 vs 1 MBEYA KWANZA | ILI HAPA..!! Neno la Bodi ya Ligi
MTIBWA 0 vs 1 MBEYA KWANZA | ILI HAPA..!! Neno la Bodi ya Ligi

Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almasi Kasongo akitoa neno mchezo wa kwanza wa ligi kuu tanzania bara kati ya Mtibwa ...

THOBIAS KIFARU: "Tunastahili kulaumiana" | Atoa sababu za kocha OMOG kukaa Jukwani
THOBIAS KIFARU: "Tunastahili kulaumiana" | Atoa sababu za kocha OMOG kukaa Jukwani

Msikie msemaji wa klabu ya Mtibwa Sugar Thobias Kifaru baada ya mchezo wao dhidi ya Mbeya kwanza kumalizika kwa wao kufungwa bao moja na wakali ...

Goli la kwanza la msimu Mbeya Kwanza wakiwatandika 1-0 Mtibwa Sugar | TPL 27/09/2021
Goli la kwanza la msimu Mbeya Kwanza wakiwatandika 1-0 Mtibwa Sugar | TPL 27/09/2021

Goli la William Edgar limekuwa ndilo goli la kwanza kwenye ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/22, na kuipa ushindi wa bao 1-0 Mbeya Kwanza (iliyopanda ...