Tazama mwanzo, mwisho tukio la Haji Manara baadaya mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Yanga kumalizika kwenye dimba la Benjamin Mkapa.