Content removal request!


UTACHEKA...!! Tazama wachezaji wapya YANGA walivyokaribishwa | Kutoke MOROCCO

Wachezaji wapya Yanga walipotambulishwa kwa kutakiwa kucheza mziki. Hii ni kawaida kwa Yanga kila mchezaji au kiongozi wa benchi la ufundi wakijiunga tu kwa mara ya kwanza hutakiwa kucheza huku wenzao wakiwaimbia na kupiga makofi.