Content removal request!


TAZAMA MASHABIKI AZAM WALIVYOMJIA JUU MWENYEKITI WA KLABU

Mashabiki wa Azam FC wameutaka uongozi wa timu hiyo kutafuta suluhisho la timu hiyo kufanya vibaya katika siku za hivi karibuni. Mashabiki hao wameyasema hayo mara baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 nyumbani dhidi ya Ruvu Shooting.