Content removal request!


#LIVE: DIAMOND AKIKINUKISHA SIMBA DAY, MASHABIKI WASHINDWA KUJIZUIA

Hivi ndivyo msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz alivyopagawisha katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, ikumbukwe kuwa leo ni siku maalamu ya wanasimba ambapo wanatarajia kutambulisha wachezaji wao mbalimbali waliowasajili kwa ajili ya msimu mwaka 2020/2021 wa ligi kuu ya Vodacom.