Yanga TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Pira la #wananchi msimu huu ππΎ ndio kwanza tunaanzaπͺπΎπ° #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Goal Machine Top Striker @heritier_ebenezer mzee wa kuwajaza β½πͺπΎ Klabu kubwa na mambo makubwa, sikiliza nyimbo maalum ya Heritier Makambo kuelekea msimu mpya 2021/22 π₯π₯π₯ Song by @madeeali #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
βNdio klabu ya maisha yanguβ maneno ya Msemaji wa Yanga SC, Haji Manara, alipozungumza ndani ya makao makuu ya klabu hiyo baada ya kukaribishwa rasmi βmjengoniβ @hajismanara #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Kuna kipa na walinda nyavu, huyu sasa ndio kipa wa mpira ππ₯πͺπΎ @djiguidiarraofficial #SisiTunaWatu #DaimaMbeleNyumaMwiko
Kikosi cha Timu ya Wananchi kimeendelea na mazoezi yake kujiandaa na msimu mpya wa Ligi na michuamo ya KimataifaππͺπΎ . #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Beki wa kimataifa wa DRC, Djuma Shaban ameendelea kukamilisha programu yake ya mazoezi ya uponaji na atajiunga na kikosi cha Wananchi katika kambi nchini Morocco Agost 15, 2021.
Kocha wa MakipaΒ @razaksiwaΒ akizungumzia mchezo wetu wa kesho dhidi ya Ihefu Fc, tutakaocheza ndani ya dimba la Benjamin Mkapa, kuanzia saa 10:00 jioni. #π£πΏπ²ππππΌπ»π³π²πΏπ²π»π°π² π°πͺπΎ #TimuyaMwananchiΒ #DaimaMbeleNyumaMwiko
Mshauri Mkuu wa Uendeshaji wa Klabu ya Yanga, Senzo Mbatha amesema watafanyia kazi ushauri waliopewa na Wageni kutoka mataifa mbalimbali walioitembelea klabu ya Yanga mwishoni mwa wiki.