DJUMA HUYU HAPA| AKAMIKISHA PROGRAMU YA UPONAJI by @Yanga TV - Post Details
DJUMA HUYU HAPA| AKAMIKISHA PROGRAMU YA UPONAJI
Beki wa kimataifa wa DRC, Djuma Shaban ameendelea kukamilisha programu yake ya mazoezi ya uponaji na atajiunga na kikosi cha Wananchi katika kambi nchini Morocco Agost 15, 2021.