Kocha wa Makipa @razaksiwa akizungumzia mchezo wetu wa kesho dhidi ya Ihefu Fc, tutakaocheza ndani ya dimba la Benjamin Mkapa, kuanzia saa 10:00 jioni. #𝗣𝗿𝗲𝘀𝘀𝗖𝗼𝗻𝗳𝗲𝗿𝗲𝗻𝗰𝗲 🔰💪🏾 #TimuyaMwananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi