Beki wa kimataifa wa DRC, Djuma Shaban ameendelea kukamilisha programu yake ya mazoezi ya uponaji na atajiunga na kikosi cha Wananchi katika kambi nchini Morocco Agost 15, 2021.