Content removal request!


KAIZER CHIEF YASTAAJABU| YANGA NI KUBWA

Mshauri Mkuu wa Uendeshaji wa Klabu ya Yanga, Senzo Mbatha amesema watafanyia kazi ushauri waliopewa na Wageni kutoka mataifa mbalimbali walioitembelea klabu ya Yanga mwishoni mwa wiki.