Dream Online Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

Hongera Simba, mlistahili taji la 2018-19,Taji La 20 Ligi Kuu Tanzania Bara.
Hongera Simba, mlistahili taji la 2018-19,Taji La 20 Ligi Kuu Tanzania Bara.

Hongera Simba, mlistahili taji la 2018-19,Taji La 20 Ligi Kuu Tanzania Bara,Simba 2 Singida United 0, Ni matokeo ya kuwa na kikosi bora zaidi kinachoundwa na wachezaji wenye vipaji vikubwa, na takwimu zote zinathibitisha.



MANARA AWAPA ONYO KALI MAKOCHA WANAOIKOSOA SIMBA ONA HII
MANARA AWAPA ONYO KALI MAKOCHA WANAOIKOSOA SIMBA ONA HII

BAADA ya kupoteza mchezowake wa jana kwa kufungwa mabao 2-1 na Simba, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Ramadhan Nswanzurimo amesema kuwa kinachoiponza Simba kupokea vichapo ikiwa nje kwenye mashindano ya kimataifa ni kubebwa na waamuzi ambao wanashindwa kutafsri sheria 17.#Simba



DILUNGA ATANGAZA KUOMBA RADHI JKT TANZANIA
DILUNGA ATANGAZA KUOMBA RADHI JKT TANZANIA

Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Simba, Hassan Dilunga, amewaomba radhi viongozi na mashabiki wa JKT Tanzania baada ya kuwafunga jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. #Simba #JktTanzania



DAKIKA 7 ZA NYONGEZA SIMBA VS JKT ZAWA GUMZO, YANGA WAHOJI
DAKIKA 7 ZA NYONGEZA SIMBA VS JKT ZAWA GUMZO, YANGA WAHOJI

Baada ya kikosi cha Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika dakika za mwisho jana dhidi ya JKT Tanzania, gumzo kubwa ni kuhusiana na dakika saba za mwisho zilizoongezwa na Mwamuzi wa mchezo huo. #Simba #TFF #yanga




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports