Hongera Simba, mlistahili taji la 2018-19,Taji La 20 Ligi Kuu Tanzania Bara.
Hongera Simba, mlistahili taji la 2018-19,Taji La 20 Ligi Kuu Tanzania Bara,Simba 2 Singida United 0,
Ni matokeo ya kuwa na kikosi bora zaidi kinachoundwa na wachezaji wenye vipaji vikubwa, na takwimu zote zinathibitisha.