Dream Online Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
KOCHA WA ALLIANCE ASEMA SIMBA WAMEBATISHA TU,HAWANA KIWANGO KIKUBWA KIIVO
#kaulinzito SIMBA YAJA NA KAULI NZITO BAADA YA KICHAPO KUTOKA KAGERA SUGAR 2-1
Gooooal Raizin Hafidh dk ya 01 Coastal Union Gooooool Kagere dk ya 49 Simba Goooooool Kagere dk ya 67 Simba MCHEZO wa ligi kuu kati ya #CoastalUnion ya Tanga na Simba unaochezwa uwanja wa Mkwakwani kwa sasa umekamilika. Coastal Union wametangulia kupachika bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Raizin Hafidh dk ya kwanza baada ya beki wa Simba Erasto Nyoni kujichanganya na mlinda mlango Manula. Kipindi cha pili dakika ya 49 Meddie Kagere anasawazisha bao kwa mkwaju wa penalti. Kagere anaandika bao la pili wa Simba dakika ya 67 akimalizia pasi ya Clatous Chama Hili linakuwa ni bao la sita kwa mlinda mlango Aish Manula kutunguliwa ndani ya ligi kuu #CoastalUnion #Simba #LigiKuuTanzaniaBara #MK14
Leo Simba itakuwa kibaruani kumenyana na Coastal Union mchezo wa ligi kuu Uwanja wa Mkwakwani huku ikitarajiwa kuwakosa nyota wake wawili ambao wanasumbuliwa na majeruhi. #Wawa #Murshid #Simba #DreamOnlineTv
Viporo vyaanza kumtia presha Kocha Aussems, Coastal Union yajipanga kuiduwaza Simba #DreamOnlineTv #Simba #Aussems Simba baada ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa sasa inaanza kupambana katika ligi ikiwa na mechi nyingi mkononi
SIMBA YAWEKA REKODI HII KALI CONGO DHIDI YA TP MAZEMBE,CAF WAWAPONGEZA
Uchambuzi Wa Clouds FM, (sport Xtra ) Kuhusu TP Mazembe vs Simba,Simba Apewa Nafasi hii katika mchezo huo