DAKIKA 7 ZA NYONGEZA SIMBA VS JKT ZAWA GUMZO, YANGA WAHOJI
Baada ya kikosi cha Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika dakika za mwisho jana dhidi ya JKT Tanzania, gumzo kubwa ni kuhusiana na dakika saba za mwisho zilizoongezwa na Mwamuzi wa mchezo huo. #Simba #TFF #yanga