2GENDAH ONLINE TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

NKANA FC WASHINDWA KUWAVIMBIA RAJA CASABLANCA ( 0 - 2 )
NKANA FC WASHINDWA KUWAVIMBIA RAJA CASABLANCA ( 0 - 2 )

#RajaCasablanca#NkanaFC#LevyMwanawasa#KombelaShirikishoBaraniAfrika) NKANA FC WASHINDWA KUWAVIMBIA RAJA CASABLANCA ( 0 - 2 )



NAMUNGO FC YACHECHEMEA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA | PYRAMID WATAMBA KWA  MKAPA  (2 - 0 )
NAMUNGO FC YACHECHEMEA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA | PYRAMID WATAMBA KWA MKAPA (2 - 0 )

#NamungoFC#Pyramid#Kombelashirikisho Wawakilishi wa Tanzania KWENYE Kombe la SHIRIKISHO Namungo FC wamepoteza mchezo wao dhidi ya Pyramid kwa magoli mawili kwa sifuri. Wakati namungo wanapoteza michezo yake miwili mfululizo huku pyramid anshinda michezo yake yote miwili na kujikusanyia alama 6 katika kundi D la kombe la shirikisho barani Afrika. Pyramid FC Wazua taharuki Kabla ya kuanza kwa mchezo wao na Namungo katika uwanja wa Mkapa walionekana wakifua jezi zao kwa madai ya kuwa wamekuta harufu nzito ya dawa zilizopuliziwa kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo. Kama Timu ya Nkana Itapoteza mchezo wake hii leo dhidi ya raja casablanca wataungana na namungo kupoteza michezo yao miwili mfululizo.



#🔴LIVE NAMUNGO FC VS PYRAMID FC ( 0 - 0 )
#🔴LIVE NAMUNGO FC VS PYRAMID FC ( 0 - 0 )

#NamungoFC#PyramidFC#KombelashirikishoAfrika#MkapaStadium #🔴LIVE NAMUNGO FC VS PYRAMID FC ( 0 - 0 ) - SECOND HALF



NAMUNGO FC WAKALIA KUTI KAVU MBELE YA RAJA CASABLANCA ( 1 - 0 )
NAMUNGO FC WAKALIA KUTI KAVU MBELE YA RAJA CASABLANCA ( 1 - 0 )

#NamungoFC#Casablanca#KombelaShirikisho MOROCCO U20 WAISUGUA TAIFA STARS U20 ( 0 - 3 )



#BREAKINGNEWS SIMBA SC WAPELEKA BARUA CAF KUICHONGEA AL MERRIKH
#BREAKINGNEWS SIMBA SC WAPELEKA BARUA CAF KUICHONGEA AL MERRIKH

#Simbasc#ALMerrikh#Maombi#CafOnline Klabu ya Simba imetuma maombi CAF kufanya uchunguzi kuhusu klabu ya Al Merreikh ya sudan kuwatumia wachezaji wawili waliofungiwa na shirikisho la mpira wa miguu la sudan wakati wa mchezo wao ulichezwa marchi 6 mwaka huu mjini khatoum . Wachezaji ambao waliojumuhishwa ni pamoja na Ramadhan ajab na bakhiet khamis ambao walifungiwa na chama cha soka sudan Sudan Football Association] kwa muda wa miezi sita kutokana na kila mmoja kua na mikataba na vilabu viwili tofauti.




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports