NAMUNGO FC YACHECHEMEA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA | PYRAMID WATAMBA KWA MKAPA (2 - 0 ) by @2GENDAH ONLINE TV - Post Details

NAMUNGO FC YACHECHEMEA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA | PYRAMID WATAMBA KWA MKAPA (2 - 0 )

#NamungoFC#Pyramid#Kombelashirikisho Wawakilishi wa Tanzania KWENYE Kombe la SHIRIKISHO Namungo FC wamepoteza mchezo wao dhidi ya Pyramid kwa magoli mawili kwa sifuri. Wakati namungo wanapoteza michezo yake miwili mfululizo huku pyramid anshinda michezo yake yote miwili na kujikusanyia alama 6 katika kundi D la kombe la shirikisho barani Afrika. Pyramid FC Wazua taharuki Kabla ya kuanza kwa mchezo wao na Namungo katika uwanja wa Mkapa walionekana wakifua jezi zao kwa madai ya kuwa wamekuta harufu nzito ya dawa zilizopuliziwa kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo. Kama Timu ya Nkana Itapoteza mchezo wake hii leo dhidi ya raja casablanca wataungana na namungo kupoteza michezo yao miwili mfululizo.

Similar Posts!

Al AHLY ANYAKUA KOMBE LA MABINGWA KWA MARA NYINGINE
Al AHLY ANYAKUA KOMBE LA MABINGWA KWA MARA NYINGINE

cafchampionsleague #final #2gendahtvonline #live #alahlytv #estunis Al AHLY ANYAKUA KOMBE LA MABINGWA KWA MARA ...



AL AHLY YAIBANA MBAVU ES TUNIS
AL AHLY YAIBANA MBAVU ES TUNIS

live #cafchampionsleague #final AL AHLY YAIBANA MBAVU ES TUNIS.



DR CongoYAPETA
DR CongoYAPETA

live #afcon2023 #quarterfinals #2gendahtvonline DR Congo & Guinea - Quarter Final.



DR Congo YAICHAPA VIBAYA SANA GUINEA
DR Congo YAICHAPA VIBAYA SANA GUINEA

live #afcon2023 #quarterfinals #2gendahtvonline DR Congo & Guinea - Quarter Final.



NIGERIA WAISHIKA KOO ANGOLA KATIKA ROBO FAINALI YA KWANZA
NIGERIA WAISHIKA KOO ANGOLA KATIKA ROBO FAINALI YA KWANZA

2gendahtvonline #live #nigeria #angola #afcon2023 NIGERIA WAISHIKA KOO ANGOLA KATIKA ROBO FAINALI YA KWANZA.



🔴Live Sekhukhune vs Mamelodi Sundowns
🔴Live Sekhukhune vs Mamelodi Sundowns

psl #mamelodisundowns #2gendahtvonline #sekhukhune Sekhukhune vs Mamelodi Sundowns.