Content removal request!


NAMUNGO FC YACHECHEMEA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA | PYRAMID WATAMBA KWA MKAPA (2 - 0 )

#NamungoFC#Pyramid#Kombelashirikisho Wawakilishi wa Tanzania KWENYE Kombe la SHIRIKISHO Namungo FC wamepoteza mchezo wao dhidi ya Pyramid kwa magoli mawili kwa sifuri. Wakati namungo wanapoteza michezo yake miwili mfululizo huku pyramid anshinda michezo yake yote miwili na kujikusanyia alama 6 katika kundi D la kombe la shirikisho barani Afrika. Pyramid FC Wazua taharuki Kabla ya kuanza kwa mchezo wao na Namungo katika uwanja wa Mkapa walionekana wakifua jezi zao kwa madai ya kuwa wamekuta harufu nzito ya dawa zilizopuliziwa kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo. Kama Timu ya Nkana Itapoteza mchezo wake hii leo dhidi ya raja casablanca wataungana na namungo kupoteza michezo yao miwili mfululizo.