Content removal request!


#BREAKINGNEWS SIMBA SC WAPELEKA BARUA CAF KUICHONGEA AL MERRIKH

#Simbasc#ALMerrikh#Maombi#CafOnline Klabu ya Simba imetuma maombi CAF kufanya uchunguzi kuhusu klabu ya Al Merreikh ya sudan kuwatumia wachezaji wawili waliofungiwa na shirikisho la mpira wa miguu la sudan wakati wa mchezo wao ulichezwa marchi 6 mwaka huu mjini khatoum . Wachezaji ambao waliojumuhishwa ni pamoja na Ramadhan ajab na bakhiet khamis ambao walifungiwa na chama cha soka sudan Sudan Football Association] kwa muda wa miezi sita kutokana na kila mmoja kua na mikataba na vilabu viwili tofauti.