Content removal request!


HAJI MANARA KUFIKISHWA MAHAKAMANI?/ MDOMO WAMPONZA!/ "USHAHIDI UPO WAZI"

Mkurugenzi wa Kampuni ya Vunja Bei Fred Ngajiro 'Fred Vunjabei" amekiri kusikia sauti inayodaiwa kuwa ni ya Msemaji wa klabu ya Young Africans Haji Manara, inayoendelea kusambaa mitandaoni akiisema vibaya kampuni yake. Sauti inayodaiwa kuwa ni ya Haji Manara inasikika ikieleza namna ambavyo Fred vunja Bei alivyop[ewa pesa na Mkurugenzi wa GSM ili asafirishe mziego wa jezi za klabu ya Simba ili kuzileta Tanzania. Vunjabai amesema baada ya kusikia sauti hiyo alikaa chini na jopo la wanasheria wake na sasa anasubiri jibu sahihi la jambo gania napaswa kulichukua kutokana na kampuni yake kuchafuliwa. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #hajimanara #vunjabei #simbasc