Content removal request!


SIMBA YATAJWA TENA AFRIKA/ CAFCL/ YAIPIKU AL AHLY/ VIGOGO WAKUNA VICHWA!/ YATABIRIWA MAKUBWA

Ushindi wa Simba umezifunika timu 10 vigogo vya soka barani Afrika. Timu hizo 10 licha ya uzoefu, uwekezaji mkubwa na ubora wa vikosi vyao zimeshindwa kufua dafu katika mechi hizo zilizochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita na hivyo kutokuwa na matumaini makubwa kama zitatinga katika hatua ya makundi au la. Kati ya timu 13 ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kutinga katika hatua ya makundi, ni tatu zilizoweza kupata matokeo mazuri ambayo yanaziweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua inayofuata kwani zimepata ushindi wa ugenini. Klabu tatu ambazo angalau zimeonyesha jeuri kama ya Simba ni Raja Casablanca ya Morocco na Zamalek ya Misri -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #SIMBASC #ALAHLY #CAF