Jumatatu, Machi 24, 2025, ni siku ya kihistoria kwa wapenda soka wa Mkoa wa Singida na taifa kwa ujumla, kwani klabu ya Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wake mpya. Uzinduzi huu ni hatua kubwa kwa klabu hiyo, ambayo imeendelea kuwekeza katika miundombinu ya michezo ili kuinua kiwango cha soka nchini. Uwanja huo uliopo Mtipa mkoani Singida, umejengwa kwa viwango vya kisasa ukiwa na nyasi bandia kwa kushirikiana na wadhamini wakuu wakiwamo Airtel, Azam, GSM, NBC, SBS, na MO Dewji. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 5,000 hadi 7,000 na unatarajiwa kuwa kitovu cha mashindano makubwa ya kitaifa na kimataifa. Sherehe za uzinduzi zinatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na michezo, huku mgeni rasmi akiwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA. Aidha, viongozi wa TFF nao wanatarajiwa kushiriki. Burudani mbalimbali zimetayarishwa kabla ya mechi kuu, ikiwa ni pamoja na muziki kutoka kwa wasanii maarufu wa Bongo Fleva, michezo ya asili, na maonesho ya utamaduni wa Kisingida. Mashabiki watapata fursa ya kushuhudia historia ikiandikwa kwa mara ya kwanza kwenye uwanja huu mpya. Kilele cha tukio hili kitakuwa ni mchezo wa kirafiki kati ya wenyeji Singida Black Stars na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC utakaochezwa kuanzia saa 10 jioni. Mechi hii inatajwa kuwa ya kuvutia kutokana na nafasi za timu hizi katika msimamo wa ligi, ambapo Yanga wanaongoza kwa pointi 58 huku Singida Black Stars wakiwa nafasi ya nne na pointi 44. Licha ya kuwa mechi ya kirafiki, upinzani baina ya timu hizi mbili umeibua hamasa kubwa kwa mashabiki. Singida Black Stars wanataka kutumia uwanja wao mpya kuonyesha ubabe wao, huku Yanga wakitaka kuendeleza rekodi yao nzuri dhidi ya wapinzani wao.
#temutv #stephanotemu #tanzania . Tafadhali SUBSCRIBE CHANNEL YANGU โ@TemuTV pia nifollow kwenye mitandao mingine Instagram & Fb #stephanotemu Tiktok & X #temutv . Soon We're going to Start Trading Live #TemuFx . TANGAZA BIASHARA YAKO SASA BUSINESS & INQUIRIES WHATSAPP +255767052799 EMAIL; TemuTvTAnzania@gmail.com Kazi yangu ni kukusogezea zote zinazotrend kwenye mitandao ya kijamii na kila kona Siasa, Michezo, Habari za wasanii, Udaku bila kusahau comment yako ikiwa kaliii naruka nayo pia. Asante kwakuwa mwanafamilia wetu kama umeshasubscribe Big time sana kwako. Lakin pia km bdo subscribe sasa maana support yako ni yamuhimu sana. One love. ASANTE SANA ENDELEA KUWA KARIBU NA TEMUTV. MAWAZO NA USHAURI PIA NI MUHIMU UNAWEZA KUTUMA UJUMBE AMA KUWASILIANA NAMI KUPITIA CONTACT ZANGU HAPO JUU. PEACE
Katika video hii, tunazungumzia pambano la kihistoria kati ya bondia maarufu Mike Tyson na kijana Jake Paul. Pamoja na kukosolewa sana kwa kushindwa, rapa mashuhuri Eminem ameonyesha msimamo wake wa kumpongeza Mike Tyson kwa ujasiri na mafanikio yake. Je, unadhani Tyson alifanya uamuzi sahihi kupambana kwa ajili ya pesa, au hili limeathiri urithi wake kama gwiji wa ndondi? Niachie maoni yako kwenye sehemu ya comment. #eminem #miketyson #jakepaul #celebritynews #shortsfeed #boxing #shorts
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK ๐๐ https://chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB4pA0ivPPRm6 Subscribe hapa : https://bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : https://bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5
#Jebison_paul_Tv #JebisonpaulTv #Habari #za #Michezo #Burudani #Sanaa #Makala #Magazeti Subscribe kuweza kupata Taarifa zote hizi #Tetesi_za_usajili #simba, #tetesi_za_usajili, #tetesi_za_usajili_yanga, #tetesi_za_usajili_simba #tetesi_za_usajili_2025, #tetesi_za_usajili_ulaya #Mchezaji #mchezaji_mpya #Ligi_kuu #Nbc_premier_league #simba #yanga #azam #kmc #coastal_union #mashujaa #geitagold #kengold #pamba_jiji #dodoma_jiji #singida_fountain_gate #Ihefu #Tabora_united #michuano #kocha #Taifa_stars #Kenya #uganda #Tanzania #congo_DRC #Zambia #Rwanda #Burundi #magazeti_ya_leo, #magazeti, #magazetini #leo, #magazeti_ya_leo_michezo,#magazeti_leo #kurasa #kurasa_za_magazeti #Sanaa_na_burudani #Zinazotrend #wasanii #Bongo #Muziki #Habari_zote_Utapata #Wasanii_wa_bongo_fleva #Diamond_platnumz #alikiba #marioo #New_song #zuchu #harmonize #barnaba #yammytz #young_lunya #nandy #dancers #Mechi_za_leo #usajili_yanga, #usajili_simba, #usajili_mpya_simba, #usajili_simba_dirisha #usajili_mpya_yanga, #usajili_wa_yanga, #usajili, #usajili_mpya_2025 #usajili_wa_wachezaji_wapya #Tuko_pamoja #wasafi_media #wasafitv #Tbc #cloudstv #Azamtv #MillardAyo #GlobalTv #Trending #Trending_News #Taarifa_mpya #Breaking_News #2024 #2025 #2026 #2027 #2028 #2029 #2030 #Trendings #Trendings_Tanzania #Trending #Music #Video #Audio #Movie #Movie_Mpya #Movie_za_kiswahili #Taarifa_ya_habari, #taarifa_ya_habari_leo, #Jebison, #taarifa_ya_habari_itv, #Taarifa_mwezi_leo, #taarifa_ya_leo, #Taarifa_za_mwezi_leo #tanzania #bingooonlinetz #yanga #millardayo #malezi #alikiba #wcb #nguvumoja #soka #umbea #simbaraha #shaffihdauda #azamtv #sokaonlineupdates #life #arusha #michezoonlineupdates #michezohalisiupdates #millardayosports #wemasepetu #sokaonline #kondegang #vpl #thisissimba #sports #ligikuutanzaniabara #udakutz #bin #dodoma #shaffihdaudawebsite #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido #umbeausioumiza