Content removal request!


Simba (0-1) Ruvu Shooting | Bao la Ruvu latonesha kidonda cha Mnyama akipoteza mechi mbili mfululizo

SIMBA 0-1 RUVU SHOOTING: Mnyama Simba SC leo amekutana na kichapo kingine kwenye ligi kuu Tanzania Bara, safari hii wakipigwa bao 1-0 na maafande wa Ruvu Shooting baada ya kile cha 1-0 kutoka kwa Tanzania Prisons katika mchezo uliopita. Mfungaji pekee wa bao la Ruvu ni Fully Zullu Maganga dakika ya 36, mechi ikipigwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz