Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na JKT Tanzania uliokuwa uchezwe leo kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro umeahirishwa kutokana na hali ya mvua ambayo imesababisha uwanja kujaa maji. Mchezo huo sasa utapangiwa tarehe nyingine. Katibu wa Chama cha Soka mkoa wa Morogoro Charles Mwakambaya anaeleza ni kwanini mechi hiyo haikupangwa kuchezwa kesho kama inavyoelekezwa na kanuni huku akieleza pia hatma ya mashabiki ambao tayari walishakata tiketi
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC imeendeleza furaha kwa mashabiki wake baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya #MbaoFC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Ushindi huo uliotokana na mabao mawili ya Nahodha John Raphael Bocco na Mnyarwanda Meddie Kagere unaifanya Simba SC ifikishe pointi 57 baada ya kucheza mechi 22, lakini inabaki nafasi ya tatu nyuma ya Azam FC yenye pointi 59 na Yanga SC pointi 67 baada ya wote kucheza mechi 28. Bocco, mmoja wa wachezaji waliokuwemo kwenye kikosi cha Tanzania kilichokata tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa uya Afrika mwaka huu nchini Misri wiki iliyopita, alifunga bao la kwanza kwa kichwa dakika ya 25 akimalizia krosi ya beki wa kushoto Mohammed Hussein ‘Tshabalala’. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kati yao na AS Vita utakaopigwa Jumamosi ya wiki hii jijini Dar es Salaam Kuelekea mechi hiyo, Manara ametaja viingilio kuwa vitakuwa ni shilingi 3000 kwa mzunguko na Orange, VIP B 10,000 na VIP A 20,000 huku Platnums itakuwa ni 100,000. Tiketi ya Platnums itampa usafiri shabiki kwenda Uwanjani akitokea Serena Hotel mpaka Uwanjani na atakaa sehemu ambayo itaambatana na vinywaji huku akipewa na jezi. Simba inaedna kucheza na Vita ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kufungwa maba0 2-0 na JS Saoura katika mchezo wa mwisho uliopigwa huko Bechar, Algeria. Mbali na viingilo, Manara amewataka mashabiki Simba kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo kwani lengo lao kubwa ni kuhakikisha wanashinda na si kingine. Manara ameeleza uwepo wa mashabiki na haswa wakifika 60,000 itakuwa jambo jema katika kuleta hamasa kwa wachezaji siku hiyo. Mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu na wadau wa mpira hapa nchini, itapigwa majira ya saa 1 za usiku katika Uwanja wa Taifa. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Manara Azindua "DO or DIE" Dhidi Ya AS VITA Jumamosi Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Kocha wa Taifa Stars ataja kikosi kitakachoingia kambini kuvaana na Uganda kwenye kusaka tiketi ya #Afcon na Azam FC yaipa JKT Tanzania kipigo cha kihistoria. Kwa undani wa haya yote ungana na Patrick Nyembera.
SIMBA Vs AL AHLY: Tiketi Zinavyouzwa Uwanja Wa Taifa NI patashika nguo kuchanika leo katika uwanja wa taifa jijini Dar ambapo Mtanange kati ya Simba SC na Waarabu Al Ahly unachezwa tena kwa mara ya pili. Ikumbukwe kwamba mtanange huu umeshawahi kuchezwa nchini Misri na Simba wakapokea kichapo cha 5-0. MASHABIKI wa Simba wameendelea kujipa moyo wa kupata matokeo mazuri ya mechi yao ya pili dhidi ya Al Ahly baada ya mechi ya kwanza kufungwa magoli 5-0. #SIMBASC #SIMBASC https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
TBC1: Baada ya Kipigo Lesotho, Taifa Stars Warejea Nchini Timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars imewasili jioni ya leo Jumatatu, Novemba 19, 2018 ikitokea nchini Lesotho kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kucheza Fainali za Afrika mwakani #AFCON2019Q ambao ulimalizika jana kwa Tanzania kufungwa bao 1-0 na Lesotho. #TANZANIAVsLESOTHO Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGwmmtrWI
“Bado tuna matumaini…Vijana wamecheza vizuri sana” – Kauli ya Waziri Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harison Mwakyembe, asema upepo umechangia, awashauri Lesotho kubadili uwanja. Mchezo huu wa kuwania tiketi ya kufuzu AFCON 2019 uliopigwa nchini Lesotho, umemalizika kwa Tanzania kufungwa bao 1-0 na wenyeji Lesotho.
Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani Azam FC ililazimika kusubiri hadi dakika 30 za nyongeza kupata tiketi ya kwenda fainali, baada ya kubanwa kwa sare ya 0-0 ndani ya dakika 90. Mabao ya Azam FC ambayo leo ilimkosa kinara wake wa mabao, Shaaban Iddi Chilunda yamefungwa na Ditram Nchimbi dakika ya 92 na beki Mzimbabwe, Bruce Kangwa dakika ya 100.