TAIFA STARS Walivyotua AIRPORT DSM KINYONGE Baada ya KUFUNGWA na LIBYA.. Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kimewasili hii leo kikitokea Nchini Libya ambako ilikuwa ikii kupepetuana na Libya katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya kombe la mataifa Afrika AFCON zidi mchezo uliyo malizika kwa Stars kupoteza kwa Goli Mbili kwa Moja huo unakuwa mchezo wa Pili Mpaka sasa Stars kucheza huku ikishinda mchezo mmoja ikiwa nyumbani dhidi ya Guinea na Kupoteza Nchini Tunisia dhidi ya Libya. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
LIBYA VS TANZANIA (2-1) - VIBE la Mashabiki wa STARS Kabla ya Mchezo.. MWAMUZI wa kati ya timu ya taifa ya Tanzania iliyokuwa inamenyana na Libya nchini Tunsia leo amebeba furaha ya mashabiki kwa kufanya maamuzi yasiyo ya kungwana mbele ya Stars nchini Tunisia. Mchezo wa leo umekamilika kwa Stars kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 licha ya kuanza kufunga bao la kwanza dakika ya 18 kwa mkwaju wa penalti kupitia Mbwana Samata baada ya Msuva kuchezewa rafu. Dakika ya 68 mwamuzi alitoa penalti ya kungaunga kwa Libya jambo lililowavunja moyo wapambanaji wa Stars kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya Afcn nchini Tunisia na bao likapachikwa na Sand Masoud dakika ya 68 ambaye alipiga penalti. Dakika ya 81 zikiwa zimebaki dakika 9 mpira kukamilika Anias Saltou aliandika bao la pili akiwa ndani ya 18 kutokana na safu ya ulinzi kufanya makosa ya wazi. Mchezaji wao tegemeo kwa Libya, Hamdou Mohamed alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 87. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list...] HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
KIKOSI CHA MAANGAMIZI cha Tanzania Kilichoiua EQUTORIAL GUINEA LEO Novemba 15 timu ya Taifa ya Tanzania itamenyana na timu ya Taifa ya Equatorial Guinea kwenye mchezo wa kuwania kufuzu tiketi ya kuwania kushiriki michuano ya Afcon inayotarajiwa kufanyika 2021. Kwenye jumla ya mechi 4 za ushindani ambazo timu hiyo ya Taifa ya Equatorial Guinea imecheza hakuna hata mechi moja ambayo wameambulia ushindi zaidi ya kupata sare na vichapo wakiwa ugenini tofauti na Stars ambayo imeambulia ushindi ikiwa ugenini mbele ya Sudan kwa kuifunga mabao 2-1. Ilipoteza mbele ya timu ya Taifa ya Congo kwa kufungwa bao 1-0 pia ililazimisha sare ikiwa nchini Sudan Kusini ya kufungana bao 1-1 pamoja na ule dhidi ya Chad kwa sare ya kufungana mabao 3-3, na iliambulia kichapo mbele ya Saudi Arabia kwa kufungwa mabao 3-2. Kwenye jumla ya mechi nne ikiwa ugenini imefungwa jumla ya mabao nane huku wao wakifunga mabao sita pekee. Kocha Msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania, Juma Mgunda amesema kuwa wanatambua ugumu wa mchezo watapambana kupata matokeo. “Tunatambua kwamba mchezo utakuwa mgumu tutapambana kupata matokeo, mashabiki wajitokeze kwa wingi kutupa sapoti,” amesema. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
DK 90 ZA TAIFA STARS VS E GUINEA LEO Novemba 15 timu ya Taifa ya Tanzania itamenyana na timu ya Taifa ya Equatorial Guinea kwenye mchezo wa kuwania kufuzu tiketi ya kuwania kushiriki michuano ya Afcon inayotarajiwa kufanyika 2021. Kwenye jumla ya mechi 4 za ushindani ambazo timu hiyo ya Taifa ya Equatorial Guinea imecheza hakuna hata mechi moja ambayo wameambulia ushindi zaidi ya kupata sare na vichapo wakiwa ugenini tofauti na Stars ambayo imeambulia ushindi ikiwa ugenini mbele ya Sudan kwa kuifunga mabao 2-1. Ilipoteza mbele ya timu ya Taifa ya Congo kwa kufungwa bao 1-0 pia ililazimisha sare ikiwa nchini Sudan Kusini ya kufungana bao 1-1 pamoja na ule dhidi ya Chad kwa sare ya kufungana mabao 3-3, na iliambulia kichapo mbele ya Saudi Arabia kwa kufungwa mabao 3-2. Kwenye jumla ya mechi nne ikiwa ugenini imefungwa jumla ya mabao nane huku wao wakifunga mabao sita pekee. Kocha Msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania, Juma Mgunda amesema kuwa wanatambua ugumu wa mchezo watapambana kupata matokeo. “Tunatambua kwamba mchezo utakuwa mgumu tutapambana kupata matokeo, mashabiki wajitokeze kwa wingi kutupa sapoti,” amesema. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars BAO la la dakika za usiku lililofungwa na Abubakar Salum 'Sure Boy' limeiwezesha Taifa Stars kuvuna alama tatu katika mchezo wa kusaka tiketi ya kushiriki fainali za Afcon 2021 baada ya kuifunga Guinea ya Ikweta mabao 2-1. Kikosi kilichanza cha Stars kilikuwa na Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Kelvin Yonda, Hassan Kessy, Bakari Mwamnyeto, Salum Abubakar, Mbwana Samatta, Simon Msuva, Mohamed Hussein, Farid Mussa na Mzamiru Yassin. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Bao la Stars lilifungwa na Simon Msuva dakika 68 baada ya kumzidi ujanja kipa wa Guinea ambaye muda mwingi alionekana kuwa kinara wa kuizuia Stars kufunga na hadi dakika za nyongeza, Sure Boy alipoachia shuti kali lililozama nyavuni na kuipa ushindi Stars mabao 2-1. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars
Kumekucha, BURUNDI Watua BONGO, Wafunguka "HATUWAOGOPI TAIFA STARS" KIKOSI cha timu ya taifa ya Burundi kimewasili salama katika ardhi ya Tanzania kikitokea kwao Burundi. walipokuwa wamekwenda kucheza na Burundi katika mechi ya kutafuta tiketi ya kushiriki kombe la dunia... Kikosi hicho kinatarajia kuumana tena na timu ya Taifa ya Tanzania (TAIFA STARS) katika dimba la Taifa jijini Dar, Baada ya mchezo wa awali kumalizika kwa sare ya bao (1-1).. Mechi ya marudiano na Burundi inatarajiwa kuchezwa Jumapili ya Septemba 08, katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, #TanzaniaVSBurundi https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
FULL TIME: Mechi ya kwanza ya hatua ya awali kusaka tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia, imemalizika Stade Intwari nchini Burundi. FT: Burundi 1-1 Tanzania.
Huu ndio uwanja wa Kasarani ambao utatumia kwa mchezo wa pili wa kuwania tiketi ya fainali za CHAN 2020 kati ya timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' na Tanzania 'Taifa Stars' Jumapili Agosti 4, 2019