Content removal request!


NI TANZANIA AU KENYA?, HAPA NDIPO YALIPO MAJIBU

Huu ndio uwanja wa Kasarani ambao utatumia kwa mchezo wa pili wa kuwania tiketi ya fainali za CHAN 2020 kati ya timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' na Tanzania 'Taifa Stars' Jumapili Agosti 4, 2019