Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii : ▻JOIN OUR ...
“Ni jukumu letu kupambana ili kupata matokeo mazuri” – Kiungo wa Taifa Stars, Himid Mao akijibu maswali ya wanahabari kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Niger. Ni mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania vs Niger, kesho saa 10:00 jioni LIVE #ZBC2kwa Tanzania pekee…
Mashabiki wa timu mbili pendwa Tanzania za Simba na Yanga, kesho wanaungana kwa pamoja kuishangilia Taifa Stars itakaposhika katika dimba la Mkapa kuikabili timu ya Taifa ya Niger. Yakiwa ni mashindano ya kufuzu mashindano ya Kombe la mataifa ya Afrika (AFCON). #TaifaStars #TFF
Kikosi cha timu ya Taifa ya Zambia 🇿🇲 kinachoshuka dimbani saa 10:00 jioni kuvaana na Ivory coast #AFCONQUALIFIERS