Manara Tv   

Manara Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“For your Sports, Business, Politics, and Entertainment, with Breaking News in-depth analysis and Exclusive Interviews. https://t.co/X1ruNg3oBu”

 Report User

Highlights

Jina linalo zungumzwa ni huyu Kijana Adebayor ambaye atatua nchini Tanzania na timu yake ya Niger kuumana dhidi ya Tanzania huku viongozi wa Simba SC wakiwa katika rada ya kuisaka Saini yake na kumbakiza katika viunga vya mitaa ya Msimbazi

#ManaraTvUpdate 
#Manaratv

Jina linalo zungumzwa ni huyu Kijana Adebayor ambaye atatua nchini Tanzania na timu yake ya Niger kuumana dhidi ya Tanzania huku viongozi wa Simba SC wakiwa katika rada ya kuisaka Saini yake na kumbakiza katika viunga vya mitaa ya Msimbazi #ManaraTvUpdate #Manaratv



Timu ya Tanzania 'Taifa Stars' inaenda kucheza mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON dhidi ya Niger kwenye dimba Ia Benjamin Mkapa

Kabla ya mchezo huu Stars ilipoteza nyumbani kwenye dimba Ia Benjamin Mkapa mbele ya Uganda kwa bao 1-0

Timu ya Tanzania 'Taifa Stars' inaenda kucheza mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON dhidi ya Niger kwenye dimba Ia Benjamin Mkapa Kabla ya mchezo huu Stars ilipoteza nyumbani kwenye dimba Ia Benjamin Mkapa mbele ya Uganda kwa bao 1-0





User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports