Content removal request!


Timu ya Tanzania 'Taifa Stars' inaenda kucheza mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON dhidi ya Niger kwenye dimba Ia Benjamin Mkapa Kabla ya mchezo huu Stars ilipoteza nyumbani kwenye dimba Ia Benjamin Mkapa mbele ya Uganda kwa bao 1-0