Simba SC imewa suprise mashabiki wake leo hii siku ya mwisho wa Dirisha la usajili baada ya Kumtambulisha Pa Omar Jobe nota maya raia wa Gambia mwenye umri wa miaka 25 Kama Lawanda Dullah Hassan mchambuzi bora zaidi Tanzania memuelezea kwa kina nyota huyu historia yake ya Soka toka akiwa kwao nchini Gambia hadi sasa akiwa klabu yeke ya mwisho nchini Kaghastan Dullah Hassan napenda kuwakumbusha kua ili kujiunga na group letu la simba pro hakikisha unanchek kwa namba 0626629644 utaungwa na wenzio wallopo maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi ya Tanzania Tunadhaminiwa na NWAKA HARDWARE wauzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi wanapatikana Kariakoo mtaa wa kipata na Sikukuu Wasiliana nao kwa namba 0655155096 Pia mimi Dullah Hassan napenda kutoa Shukran kwa wanasimba Pro members waliotoa kidogo chao kwaajili ya kukamilisha ununuzi wa vifaa vya media yetu nasema Asanteni sana
simba vs singida fountain gate
YANGA HII SASA SIFA! HUKU MSUVA, KULE MANU BOLA? USAJILI WAO WATIKISA! KUTQMBULISHWA SAA 6 USIKU! INJINIA HERSI ANATOA TAMKO ZITO UMEONA?
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK ๐๐ https://chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB4pA0ivPPRm6 Subscribe hapa : https://bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : https://bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5
Baada ya Simba SC kupoteza mchezo dhidi ya Wydad Casablanca katika Dimba la Marrakech nchini Morocco, Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Haya ni maoni ya Mashabiki walikuwa wakitizama mchezo huo kupitia Runinga.