Mtangazaji wa kabumbu kutoka Azam Media, Baraka Mpenja akitoa maoni yake kwa klabu ya Yanga baada ya Yanga kupata sare ya Bao 1-1 dhidi ya TP Mazembe.
Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like... UFAFANUZI Cs Constantine wamecheza mechi 11 katika Ligi Kuu ya Algeria msimu huu, wameshinda 5, Sare 4 na Kupoteza 2. By Mhariri -- MBWADUKE STATS "Spoti Next Level"
HUYU HAPA DESAMOO ALIYETABIRI MAPEMA YANGA KUPOTEZA MECHI 3 KWELI IKATOKEA, ATABIRI SARE NA NAMUNGO
Coastal Union imelazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Simba katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba KMC Complex, Dar es Salaam. Simba wametangulia kwa magoli mawili kipindi cha kwanza kutoka kwa Mohamed Hussein Zimbwe Jr. na Lionel Ateba kwa penati , lakini Coastal wakacharuka kipindi cha pili na kupata magoli mawili kupitia kwa Abdallah Hassan na Hernest Malonga.... Tazama highlights....
Jana Simba SC ilifanikiwa kucheza mchezo wa kirafiki na Al-hilal ya Sudan na mchezo kumalizika kwa sare ya bao 1-1 katika dimba la KMC Complex Heavyweight Dullah anatupitisha katika mchezo huo na jinsi ambavyo kocha Fadlu alivoingia Kimbinu dhidi ya Al-hilal Inayonolewa na Kocha Florent Ibenge Kama unataka kuungwa kwenye Group letu la SIMBA PRO tuma ujumbe kwa namba 0626629644 ili uweze kuungwa kwenye group letu