🔰Matumaini ya kufuzu yamefufuka. Kipindi cha pili roho ilikuwa mkononi Niger walifanya mashambulizi hatari zaidi yetu. Kilichobaki Uganda wapoteze vs Algeria. Mechi za mwisho itafahamika tu. Adel ana kazi kubwa ya kuifanya kuwa na uwiano wa kiuchezaji vipindi vyote 2.
Taifa Stars inafikisha alama 7 kwenye msimamo huku wakisubiri hatima ya Mchezo wa Uganda na Algeria ili kujihakikishia nafasi ya pili. Bao limefungwa na Simon Msuva 68' #webrandyourfuture #FathersDay #brazil #news #africa #sports
Full time Tanzania 1-0 Niger ⚽️Msuva Ushindi muhimu kwenye mechi muhimu, Tanzania inafikisha Alama 7 kwenye nafasi ya pili Sasa Maombi ni muhimu kwa Algeria Amfunge Uganda mwenye Alama 4. #MTEULE
Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii : ▻JOIN OUR ...
KMC 'KINO BOYS' wameshinda Mchezo wa pili wa Play off dhidi ya Mbeya City kwa idadi ya Goli 2, ambapo Mchezo wa kwa ...
Mpenja Tv tumezungumza na Mchambuzi wa Soka kutoka Azam Media Limited Ramadhan Mbwaduke kuhusu takwimu za Kocha Roberto Oliveira "Robertinho" ndani ya Klabu ya Simba tangu alivyoanza kuifundisha na nini anakiona kwa Simba Msimu ujao wa 2023/2024. Pia amesema licha ya Simba SC kumaliza ligi wakiwa nafasi ya pili bado kocha Robertinho ana Takwimu Bora ukilinganisha na kocha Nasreddine Nabi ambaye ametwaa Ubingwa wa Makombe yote makubwa ngazi ya Klabu Nchini,Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.
Fiston Mayele amefunga la kwanza dakika ya 33 na Yannick Bangala akitokea benchi akafunga la pili dakika ya 90, Yanga ...