FISTON MAYELE ATAONDOKA YANGA?/MSIKIE HAPA AKIJIBU/"MSIMU BORA ZAIDI KWANGU/NILIUMIA"
FISTON MAYELE ATAONDOKA YANGA?/MSIKIE HAPA AKIJIBU/"MSIMU BORA ZAIDI KWANGU/NILIUMIA"

Kikosi cha Yanga kimetua kwenye Ardhi ya Tanzania kikitokea Algeria kwenye Mchezo wa pili wa Fainali ya Kombe la Shirikisho ...

KAHRABA ANAFUNGA GOLI LA PILI KWA AL AHLY KWENYE FAINALI YA KLABU BINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CA
KAHRABA ANAFUNGA GOLI LA PILI KWA AL AHLY KWENYE FAINALI YA KLABU BINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CA

Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii : ▻JOIN OUR ...

GHARIB MZINGA: "YANGA NDIO KIKOSI BORA ZAIDI KOMBE LA SHIRIKISHO/WAMECHEZA VIZURI/WAMEJIFUNZA"
GHARIB MZINGA: "YANGA NDIO KIKOSI BORA ZAIDI KOMBE LA SHIRIKISHO/WAMECHEZA VIZURI/WAMEJIFUNZA"

USM Alger walishinda kwenye Dimba la Benjamin Mkapa na Yanga wameenda kushinda Kwenye Dimba la July 5, kila mmoja ameshindwa kwenye Ardhi ya Ugenini lakini Kombe limeenda kwa USM Alger. Hii ni tathmini ya Gharib Mzinga 'KILWA FINEST' Kuhusu Mchezo wa Pili wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mzinga ameeleza kuhusu mipango ya Timu za Algeria kuhakikisha wanakuza vipaji na kufikia Nchi ya ahadi yenye Mafanikio ya Kisoka. Aidha ameeleza kuwa USM Alger hawajabadilika bali Yanga ndio walibadilika.

LIVE: UCHAMBUZI KUELEKEA FAINALI YA CAF CC, YANGA NA USMA - 03/06/2023
LIVE: UCHAMBUZI KUELEKEA FAINALI YA CAF CC, YANGA NA USMA - 03/06/2023

Leo ndiyo leo, Yanga wanashuka dimbani kumalizana na USM Alger katika mchezo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho ...

YANGA WATIMKIA ALGERIA FULL MKOKO/AUCHO/AMBUNDO NDANI/FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
YANGA WATIMKIA ALGERIA FULL MKOKO/AUCHO/AMBUNDO NDANI/FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

Kikosi cha Yanga kimeanza safari Leo Tarehe 01/06/2023 kuelekea Nchini Algeria Kwenye Fainali ya Pili ya Kombe la Shirikisho ...

Mwakalebela alikataa goli la pili la USM Alger Asema ilikuwa ni Offside
Mwakalebela alikataa goli la pili la USM Alger Asema ilikuwa ni Offside

Baada ya mchezo wa muongo WA kwanza WA fainali ya kombe la Shirikisho baadhi ya wadau na mashabiki WA Young Africans ...

« Previous Next »

Popular Tags

#Russell Westbrook  #Stephen Curry  #Shot Goals  #Amazing Solo Goals  #Best Goalkeeper Saves  #Philadelphia 76ers  #Golden State Warriors  #LeBron James  #Goal Celebrations  #Goalkeeper Saves  

Popular Users

#darrenrovell  #LAKings  #katzm  #DwyaneWade  #geniebouchard  #steveaustinBSR  #RobGronkowski  #selenagomez  #kobebryant  #Oprah  #nytimes  #Buccigross  #AdamSchefter  #YouTube  #TheNotoriousMMA