Content removal request!


MBWADUKE:''HUU NDIO UTOFAUTI WA KOCHA ROBERTINHO NA NABI/AMEONGEZEA FALSAFA MPYA SIMBA/ONYANGO...

Mpenja Tv tumezungumza na Mchambuzi wa Soka kutoka Azam Media Limited Ramadhan Mbwaduke kuhusu takwimu za Kocha Roberto Oliveira "Robertinho" ndani ya Klabu ya Simba tangu alivyoanza kuifundisha na nini anakiona kwa Simba Msimu ujao wa 2023/2024. Pia amesema licha ya Simba SC kumaliza ligi wakiwa nafasi ya pili bado kocha Robertinho ana Takwimu Bora ukilinganisha na kocha Nasreddine Nabi ambaye ametwaa Ubingwa wa Makombe yote makubwa ngazi ya Klabu Nchini,Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.