DAKIKA 15 ZA SIMBA VS AZAM FC, (1 -0) VPL MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba ameendeleza moto wake wa kucheka na nyavu baada ya kupachika bao lake la saba ndani ya ligi na kuipa pointi tatu timu ya Simba mbele ya Azam FC. Mchezo wa leo ambao umechezwa uwanja wa Taifa ulikuwa na ushindani mkubwa na ulitawaliwa na ubabe mwingi kutokana na kila timu kuhitaji kupata pointi tatu. Simba wakiwa wenyeji wa mchezo iliwabidi wasubiri mpaka dakika ya 49 kuandika bao la kuongoza lililopachikwa kimiani na Kagere akimalizia pasi ya Francis Kahata kwa kichwa. Ushindi huo unaifanya Simba kuzidi kujikita kileleni ikiwa na pointi 15 na imecheza michezo mitano kwa kusepa na pointi zote tatu. Beki wa Simba, Pascal Wawa ndiye alikuwa nyota wa mchezo kwani aliokoa hatari nyingi kutoka kwa Chirwa ambaye alikuwa msubufu langoni akihaha kupata goli la ushindi ila bahati haikuwa yao. Simba ilifanya mabadiliko kipindi cha pili kwa kumtoa Sharaf Shiboub nafasi yake ikachukuliwa na Clatous Chama, Hassan Dilunga alimpisha Miraj Athuman, Francis Kahata alimpisha Ibrahim Ajib kwa upande wa Azam FC alitoka Richard Djoud YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEWS: https://www.youtube.com/playlist?lialiyempisha Chilunda, Frank Domayo alimpisha Donald Ngoma.
GOLI LA MEDDIE KAGERE - SIMBA VS AZAM FC 1 -0 MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba ameendeleza moto wake wa kucheka na nyavu baada ya kupachika bao lake la saba ndani ya ligi na kuipa pointi tatu timu ya Simba mbele ya Azam FC. Mchezo wa leo ambao umechezwa uwanja wa Taifa ulikuwa na ushindani mkubwa na ulitawaliwa na ubabe mwingi kutokana na kila timu kuhitaji kupata pointi tatu. Simba wakiwa wenyeji wa mchezo iliwabidi wasubiri mpaka dakika ya 49 kuandika bao la kuongoza lililopachikwa kimiani na Kagere akimalizia pasi ya Francis Kahata kwa kichwa. Ushindi huo unaifanya Simba kuzidi kujikita kileleni ikiwa na pointi 15 na imecheza michezo mitano kwa kusepa na pointi zote tatu. Beki wa Simba, Pascal Wawa ndiye alikuwa nyota wa mchezo kwani aliokoa hatari nyingi kutoka kwa Chirwa ambaye alikuwa msubufu langoni akihaha kupata goli la ushindi ila bahati haikuwa yao. Simba ilifanya mabadiliko kipindi cha pili kwa kumtoa Sharaf Shiboub nafasi yake ikachukuliwa na Clatous Chama, Hassan Dilunga alimpisha Miraj Athuman, Francis Kahata alimpisha Ibrahim Ajib kwa upande wa Azam FC alitoka Richard Djoud aliyempisha Chilunda, Frank Domayo alimpisha Donald Ngoma. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEWS: https://www.youtube.com/playlist?li
SIMBA VS AZAM FC Walivyoingia Uwanjani Kutoshana Nguvu Kikosi kitakachoanza 16 Razak Abalora 14 Nickolas Wadada 26 Bruce Kangwa 5 Yakubu Mohammed 6 Agrey Moris (C) 28 Stephan Kingue 17 Joseph Mahundi 18 Frank Domayo 7 Obrey Chirwa 11 Donald Ngoma 2 Ramadhan Singano Akiba 1 Mwadini Ally 4 Hassan Mwasapili 3 Danny Amoah 22 Salmin Hoza 10 Enock Atta 20 Tafadzwa Kutinyu 19 Danny Lyanga #SIMBASCVSAZAMFC https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameng’ang’aniwa kwenye Uwanja wa Uhuru kwa kulazimishwa sare ya bila kufungana na Azam FC. Timu zote zilionesha soka la kiwango cha juu ambapo Simba walifanya mashambulizi mengi zaidi langoni kwa Azam lakini walishindwa kupata bao kutokana na uimara wa safu ya ulinzi ya Azam iliyokuwa chini ya Agrey Moris na Yakubu Mohamed. Licha ya kushambuliwa zaidi, Azam walipoteza nafasi mbili za wazi kupitia kwa Donald Ngoma dakika ya 29 na Obrey Chirwa dakika ya 87, hivyo mchezo kumalizika kwa suluhu. Matokeo hayo yanaifanya Simba kubakiza pointi nane pekee ili kutetea taji lake, ikiwa imefikisha pointi 82 na mechi tano mkononi, wakati wapinzani wao wa karibu, Yanga wakiwa na pointi 81 na mechi tatu mkononi. Azam wao wanaendelea kukaa nafasi ya tatu wakifikisha pointi 69 na mechi mbili mkononi.
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kocha wa Azam FC, Meja Abdul #Mingange amesema, kikosi chao cha #AzamFC hakijafikia malengo waliyokusudia labda wachukue ubingwa wa FA utakaowapa nafasi ya kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na akaweka wazi kuwa suluhu yao na Simba imewapata walichotaka. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Amesema, malengo ya Azam FC yalikuwa ni kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu Bara au wamalize nafasi ya pili kwa sababu timu yao ni kubwa. "Katika msimu huu sisi hatujafanya vizuri kwa sababu tulitakiwa kuchukua ubingwa au nafasi ya pili lakini kama tutachukua ubingwa wa FA angalau tutakuwa tumefanya kitu,"alisema Mingange aliyechukua mikoba ya kuinoa Azam FC baada ya kutimuliwa Kocha Mholanzi Hans Pluijm. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars "Wenzetu Simba walikuwa wanatafuta ubingwa lakini sisi hatuko huko hivyo hatukutaka kujichosha ndiyo maana tulicheza kwa kuzuia ili tusifungwe hivyo tumepata tulichokitaka,"alisema Mingange. Hata hivyo, Mingange amesema mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam na kusababisha Uwanja wa Uhuru ambao walichezea mechi kujaa maji uliwaathiri wao na wapinzani wao. Twitter: https://twitter.com/kidanistars Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Aishi Manula, Nicholas Gyan, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Yussuf Mlipili, Erasto Nyoni, James Kotei/John Bocco dk79, Haruna Niyonzima, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Emmanuel Okwi na Clatous Chama. Azam FC; Razack Abalora, Nickolas Wadada, Bruce Kangwa, Yakubu Mohammed, Aggrey Morris, Stephan Kingue, Joseph Mahundi, Frank Domayo, Obrey Chirwa, Donald Ngoma na Ramadhan Singano/Daniel Lyanga dk53.
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
AS VCLUB 0 - TP MAZEMBE 0 Classico de niveau technique moyen, sans engouement du public (Vclubiens) et gâché par un arbitrage pas correct (qui voulait visiblement un match nul). Notons qu' un penalty a été accordé à VCLUB mais pas transformé par Fabrice NGOMA. Côté MAZEMBE, le manque d'inspiration et de vrai engagement des attaquants est à la base de ce résultat alors que dans le jeu les hommes de MIHAYO étaient au dessus de leur adversaire du jour. MAZEMBE totalise 68 points en 25 matchs alors que VCLUB atteint 71 points en 29 matchs. MIHAYO a donc besoin de 6 points seulement pour confirmer son sacre. Il lui reste 5 matchs à jouer.
RD CONGO vs LIBERIA : TOUS LES LÉOPARDS ATTENDUS SONT LA ! Jeudi 21 mars 2019.- L’effectif du sélectionneur principal Jean-Florent Ibenge Ikwange est présentement au grand complet avec les cinq conquistadors venus d’Asie et d’Europe, arrivés dans la soirée mardi 19 mars 2019, en compagnie du Président de la FECOFA, Constant Omari Selemani : Cedric Bakambu de Beijing Gouan en Chine, Youssuf Mulumbu de Kilmarnock en Ecosse, Arthur Masuaku de Westham en Angleterre, Jacques Maghoma de Birmingham en Angleterre et Marcel Tisserand de Wolfsbourg en Allemagne. Ils étaient précédés, quelques heures avant, dans la même soirée du mardi 19 mars 2019, par Auguy Kalambay, le gardien de SM Sanga Balende. Le tout dernier à rejoindre le Fleuve Congo Hôtel, dans la mi-journée du mercredi 20 mars 2019, n’est autre que Léy Matampi Vumi venu d’Arabie Saoudite, de Al Ansar Club Medina. Du programme d’entrainement de ce jour, jeudi 21 mars 2019, Les Léopards s’entraineront pour la première fois lors de ce stage, au stade des Martyrs à l’heure du match, à 14 heures 00’. Séance d’entraînement à huis-clos, jusqu’à la session officielle des 15 minutes pour la presse à la veille du match, le samedi 23 mars 2019. Il en sera ainsi jusqu’à la fin de la préparation. Rappelons que le mercredi 20 mars 2019 dernier, Jean-Florent Ibenge Ikwange et ses Léopards étaient, comme le jour avant, le mardi 19 mars 2019, au Centre de formation en fin d’avant midi… Pour le match RD Congo vs Libéria de ce dimanche 24 mars 2019 à partir de 14 heures 00’, il est vrai que les Fauves du pays du Grand Fleuve Congo ne sont plus qu’à 90 minutes du Caire. Mieux, ils sont à 90 minutes de la Phase finale de la CAN-Egypte 2019. Mais, cela, passe nécessairement par le Liberia. Par une victoire sur le Liberia voulait-on écrire. Le résultat de l’autre match de Harare entre le Zimbabwe et la RD Congo importe peu ou pas du tout. Il faut gagner au stade des Martyrs pour passer. Il n’y a pas d’autre alternative pour les Léopards de la RD Congo … Ils seront là, les 24 joueurs présents dans la capitale, de la liste mise à jour et actualisée par Ibenge Coaché. Voici donc, ceux sur qui, le sélectionneur principal des Léopards A, Jean-Florent Ibenge Ikwange, a jeté son dévolu pour le match de la 6ème et dernière journée des Éliminatoires de la CAN-Egypte 2019 entre la RD Congo et le Liberia de ce dimanche 24 mars 2019 à 14.00′ au stade des Martyrs. DEUX GARDIENS Auguy KALAMBAY (SANGA BALENDE/RD Congo) Anthony MOSSI (CHIASSO/Suisse) Ley MATAMPI VUMI (AL ANSAR CLUB MEDINA/Arabie Saoudite) DIX DEFENSEURS : Djos ISSAMA (TP MAZEMBE/RD Congo) DJUMA SHABANI (AS V.CLUB/RD Congo) Glody NGONDA (AS V.CLUB/RD Congo) Arthur MASUAKU (WESTHAM/ Angleterre) Bobo UNGENDA (PRIMEIRO DI AGOSTO/Angola) Christian LUYINDAMA (GALATASARAY/Turquie) Merveille BOPE (STANDARD DE LIEGE/Belgique) Marcel TISSERAND (WOLFSBOURG/Allemagne) Padoue BOMPUNGA (AS V.CLUB/RD Congo) Dieumerci NDONGALA (GENK/Belgique) SEPT MILIEUX : Jacques MAGHOMA (BIRMINGHAM/Angleterre) Chancel MBEMBA (PORTO FC/Portugal) Paul-José MPOKU (STANDARD DE LIEGE/Belgique) Trésor MPUTU (TP MAZEMBE/RD Congo) Fabrice NGOMA (AS V.CLUB/RD Congo) Youssouf MULUMBU (KILMARNOCK/Ecosse) Nelson MUNGANGA OMBA (AS V.CLUB/RD Congo) QUATRE ATTAQUANTS Jonathan BOLINGI (ANTWERP/Belgique) Elia Lina MESCHACK (TP MAZEMBE/RD Congo) Yannick BOLASIE (ANDERLECHT/Belgique) Cédric BAKAMBU (BEIJING GUOAN/Chine) _________________________________________________________________FECOFA EVENT.- La Fédération Congolaise de Football Association (FECOFA) est une ASBL, Membre de la FIFA, de la CAF et du Comité Olympique Congolais. La Direction de Communication et Médias (DIRCOM-FECOFA) met en ligne cette Chaîne YouTube événementielle d'actualité footballistique au pays du Grand Fleuve Congo, la République Démocratique du Congo. La DIRCOM-FECOFA pense ainsi mettre à la disposition des internautes des vidéos événémentiels des activités essentielles de la FECOFA et du football en RD Congo... POUR LA DIRCOM-FECOFA, Jerry Gérard-Désiré ANGENGWA AGBEME Directeur Coordonnateur de la DIRCOM-FECOFA