Mechi tano za Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) zimechezwa leo, kubwa ikiwa ni Coastal Union vs Simba kwenye Uwanja wa Mkwakwani, itakayokuwa mbashara #AzamSportsHD. Wachambuzi wetu Ally Kamwe na Michael Johnson wako na Patrick Nyembera baada michezo hiyo. Mechi nyingine za leo ni Alliance va Ndanda itakayokuwa mbashara #AzamSports2, Lipuli vs Ruvu, Polisi vs JKT na Azam vs Mbeya City saa 1:00 usiku. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Miongoni mwa ripoti zilizomo ni ya mchezo kati ya Biashara United vs Coastal Union, Ndanda vs Mbeya City, Kagera Sugar vs Polisi Tanzania pamoja na maandalizi ya mchezo kati ya JKT Tanzania vs Mbao FC. Ahmed Ally yuko na Ally Kamwe na Dominick Salamba. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ungana na Philip Cyprian akiwa na wachambuzi Rashid Hamisi na Rashid Seif kwenye kipindi cha Dakika 90 Jumatatu hii kikiangalia mechi za VPL zilizopigwa wikiendi hii zikiwemo Biashara United vs Yanga na Ndanda vs Simba zilizomalizika kwa suluhu. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
#modewji #ndandafc #simbasc MO DEWJI AKOSHWA NA GWARIDE NA HESHIMA WALIYOTOA NDANDA KWA SIMBA,AWASHUKURU NAMNA HII
Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri SHUHUDIA MASHABIKI SIMBA WANAVYOLIA NA USHIRIKINA NANGWANDA SIJAONA/WENYWE WAJIBU MAPIGO #BonaTV #Ndanda #Simba
Mabingwa wa Nchi Simba walivopigiwa Gwaride la heshima (Guard Of Honour) na Ndanda SC
Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri TAZAMA NDUMBA ILIVYOTUMIKA KUMVUTA SIMBA MKIA/MASHABIKI WAVUTANA/ILA NDANDA.......................!! #BonaTV #Simba #Ndanda