Content removal request!


DAKIKA 90 (6/7/2020): Kilichozinyima ushindi Yanga dhidi ya Biashara na Simba dhidi ya Ndanda

Ungana na Philip Cyprian akiwa na wachambuzi Rashid Hamisi na Rashid Seif kwenye kipindi cha Dakika 90 Jumatatu hii kikiangalia mechi za VPL zilizopigwa wikiendi hii zikiwemo Biashara United vs Yanga na Ndanda vs Simba zilizomalizika kwa suluhu. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz