Content removal request!


LIVE: COASTAL (0-0) SIMBA, ALLIANCE (2-2) NDANDA, UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - 23/07/2020

Mechi tano za Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) zimechezwa leo, kubwa ikiwa ni Coastal Union vs Simba kwenye Uwanja wa Mkwakwani, itakayokuwa mbashara #AzamSportsHD. Wachambuzi wetu Ally Kamwe na Michael Johnson wako na Patrick Nyembera baada michezo hiyo. Mechi nyingine za leo ni Alliance va Ndanda itakayokuwa mbashara #AzamSports2, Lipuli vs Ruvu, Polisi vs JKT na Azam vs Mbeya City saa 1:00 usiku. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz