ALLY KAMWE AMVAA AHMED ALLY/"MWAMNYETO ATAVAA JEZI YA FEITOTO/KOMBE LA CAF TUTALIPELEKA MSIMBAZI"
ALLY KAMWE AMVAA AHMED ALLY/"MWAMNYETO ATAVAA JEZI YA FEITOTO/KOMBE LA CAF TUTALIPELEKA MSIMBAZI"

Kikosi cha Yanga kimetua kwenye Ardhi ya Tanzania kikitokea Nigeria kwenye Mchezo wa hatua ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers United.



MAYELE APEWE MAUA YAKE/MWAMNYETO ALIFANYA KAZI YA ZIADA/KOCHA NABI KAIMALIZA MECHI KIPINDI CHA PILI
MAYELE APEWE MAUA YAKE/MWAMNYETO ALIFANYA KAZI YA ZIADA/KOCHA NABI KAIMALIZA MECHI KIPINDI CHA PILI

Hatimae Kisasi iimelipwa, Wananchi Young Africans wameichapa Rivers United Goli 2 kwa 0 kwenye Mchezo wa hatua ya Robo ...



Magoli na kadi nyekundu | Yanga 4-1 Tanzania Prisons | Azam Sports Federation Cup 03/03/2023
Magoli na kadi nyekundu | Yanga 4-1 Tanzania Prisons | Azam Sports Federation Cup 03/03/2023

Clement Mzize amehusika kwenye magoli yote manne, Yanga ikiichapa Tanzania Prisons 4-1 katika mchezo wa 16 bora na kutinga robo fainali kwa kishindo. Clement Mzize amefunga magoli magoli dakika ya 70 na 88 huku akisababisha goli la kwanza lililofungwa na Bakari Mwamnyeto dakika ya 52 na penati iliyofungwa na Stephane Aziz Ki dakika ya 69. Katika mchezo huu uliomaliza dakika 45 za kipindi cha kwanza bila goli, Tanzania Prisons walipata pigo kwa beki wake Ibrahim Abraham kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 45 baada ya kupata njano mbili, lakini pia Clement Mzize alikosa penati dakika ya 90. Ni #AzamSportsFederationCup iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.




« Previous Next »


Popular Tags

#Lionel Messi  #Shot Goals  #Los Angeles Lakers  #Thomas Muller  #Best Ball Controls  #Gareth Bale  #Philadelphia 76ers  #Goalkeeper Saves  #Russell Westbrook  #Best Goals Ever  

Popular Users

#PMOIndia  #jadande  #TheRock  #AdamSchefter  #alexmorgan13  #britneyspears  #billsimmons  #strombone1  #richarddeitsch  #ArianFoster  #cnnbrk  #MileyCyrus  #oldhossradbourn