Yanga SC 5-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 25/02/2026
Yanga SC 5-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 25/02/2026

Yanga SC imeichakaza JKT Tanzania mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Wafungaji wa magoli haya ni Mohamed Hussein Zimbwe Jr,, Aurellio Depu, Mudathir Yahya, Prince Dube na Shekhan Ibrahim.



KWA MARA YA KWANZA ZIMBWE AONGEA KUHUSU YANGA/ MUDATHIR AZITAKA TUZO MFULULIZO/ BACCA ATOA YA MOYONI
KWA MARA YA KWANZA ZIMBWE AONGEA KUHUSU YANGA/ MUDATHIR AZITAKA TUZO MFULULIZO/ BACCA ATOA YA MOYONI

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV Follow us on Social Media Platforms Instagram: Crown FM - https://www.instagram.com/crownfmtz/ Crown TV - https://www.instagram.com/crowntvtz/ Twitter (X): CROWN MEDIA SWAHILI: https://twitter.com/CrownMediaTZ CROWN MEDIA ENGLISH: https://twitter.com/CrownMediaEN Facebook: CROWN MEDIA: https://www.facebook.com/profile.php?id=61556920898213&sk=followers TIKTOK: - https://www.tiktok.com/@crownmedialive?lang=en SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: https://www.youtube.com/channel/UCWHlCJN-WTamGWp4E6ZrhsA



MUDATHIR AMALIZA UTATA KWA FEISAL ''NAWASIKILIZA YANGA MKATABA  WANGU UNAELEKEA MWISHO''
MUDATHIR AMALIZA UTATA KWA FEISAL ''NAWASIKILIZA YANGA MKATABA WANGU UNAELEKEA MWISHO''

USISAHAU KU-SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU KWA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU. INSTAGRAM @pmtvtz TIKTOK @officialpmtv TOVUTI: www.pmtv.co.tz



Tanzania Prisons 0-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 18/06/2025
Tanzania Prisons 0-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 18/06/2025

Yanga SC imeichakaza Tanzania Prisons kwa kichapo cha mabao 5-0 kwenye mchezo wa raundi ya 29 Lig kuu ya NBC uliopigwa Sokoine Stadium, Mbeya... Pacome Zouzoua amefunga magoli mawili, huku mengine yakitoka kwa Mudathir Yahya aliyefungua milango dakika ya 31, Clatous Chama, na Israel Mwenda..




« Previous Next »


Popular Tags

#Cristiano Ronaldo  #Shaquille O'Neal  #Miami Heat  #Paul Pogba  #Neymar  #Lionel Messi  #Zlatan Ibrahimovi  #Kyrie Irving  #Amazing Solo Goals  #Gareth Bale  

Popular Users

#TheCUTCH22  #BringerOfRain20  #SHAQ  #twitter  #AntDavis23  #kobebryant  #CP3  #YouTube  #MikePereira  #ATLHawks  #BillGates  #DanicaPatrick  #CNN  #oldhossradbourn  #Harry_Styles