Magoli | Yanga SC 3-0 Singida BS | NBC Premier League 22/05/2026
Yamefungwa magoli matatu.... chuma mbili zikiwekwa kambani na Allan Okello na goli lingine likifungwa na Mudathir Yahya kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.
Hii ni Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.