Content removal request!


HARMONIZE na SARAH Walivyoshuhudia MECHI Ya TAIFA STARS VS BURUNDI

HARMONIZE na SARAH Walivyoshuhudia MECHI Ya TAIFA STARS VS BURUNDI MSANII wa Bongo Fleva Harmonize alifika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kushuhudia mtanange wa TANZANIA VS BURUNDI akiwa na mke wake SARAH ambapo Mizuka ilimzidi na kujikuta akizunguka uwanja huku akiimba na mashabiki wa Timu ya Taifa. Ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Burundi timu zote zilitoshana nguvu Kwa kufungana bao 1-1, ambapo mchezo wa marudio umekuwa na faida kwa Tanzania baada ya kuichapa mabao 3-0 timu yas Burundi, mabao yaliyofungwa kwa mikwaju ya Penalt.. #TANZANIAvsBURUNDI https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho