🔴#LIVE: YANGA VS POLISI TANZANIA/MZEE WA UTOPOLO ASHUSHA SONGI LA UBINGWA/KIATU CHA MPOLE HIKI HAPA
🔴#LIVE: YANGA VS POLISI TANZANIA/MZEE WA UTOPOLO ASHUSHA SONGI LA UBINGWA/KIATU CHA MPOLE HIKI HAPA

Kuelekea Mchezo wa NBC Premier league kati ya Yanga Sc Dhidi ya Polisi Tanzania, Moja ya shabiki kindaki ndaki wa Yanga Sc ...

Geita Gold 2-0 Biashara United | Highlights | NBC Premier League 18/06/2022
Geita Gold 2-0 Biashara United | Highlights | NBC Premier League 18/06/2022

Magoli mawili kutoka kwa George Mpole na Edmund John yameipa ushindi wa 2-0 Geita Gold dhidi ya Biashara United katika ...

Magoli | Geita Gold  2-0 Biashara United | NBC Premier League 18/06/2022
Magoli | Geita Gold 2-0 Biashara United | NBC Premier League 18/06/2022

Magoli mawili kutoka kwa George Mpole na Edmund John yameipa ushindi wa 2-0 Geita Gold dhidi ya Biashara United katika ...

MSUVA AHUDHURIA SHEREHE ZA UBINGWA YANGA, ATAMANI MPOLE AWE MFUNGAJI BORA
MSUVA AHUDHURIA SHEREHE ZA UBINGWA YANGA, ATAMANI MPOLE AWE MFUNGAJI BORA

Yanga SC leo wametangazwa kuwa Mabingwa wapya wa Ligi Kuu baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga katika mchezo uliyochezwa Benjamin Mkapa, Yanga ambao waliukosa Ubingwa kwa miaka minne mfululizo wametwaa Ubingwa wao wa 28 leo wakiwa na michezo mitatu mkononi, Yanga leo wamefikisha jumla ya point 67 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote ile hata kama watapoteza michezo yao mitatu iliyosalia, Simba anawafuatia akiwa na point 51 kacheza michezo 25 hata akishinda michezo yote mitano atakuwa na point 66.

Magoli | Geita Gold 2-0 Dodoma Jiji | NBC Premier League 13/06/2022
Magoli | Geita Gold 2-0 Dodoma Jiji | NBC Premier League 13/06/2022

Hapa kuna goli la Edmund John lililotengenezwa na George Mpole na kuna goli la George Mpole mwenyewe likiwa ni la 15 ...

Uchambuzi Magoli Yote Na KOSA KOSA Tanzania VS Algeria ,Shuhudia Utabe wa SAMATTA,MPOLE,MSUVA na KIB
Uchambuzi Magoli Yote Na KOSA KOSA Tanzania VS Algeria ,Shuhudia Utabe wa SAMATTA,MPOLE,MSUVA na KIB

Uchambuzi Magoli Yote Na KOSA KOSA Tanzania VS Algeria ,Shuhudia Utabe wa SAMATTA,MPOLE,MSUVA na KIB ...

« Previous Next »

Popular Tags

#Manuel Neuer  #Chris Paul  #Thomas Muller  #Tristan Thompson  #Football Defensive Skills  #James Harden  #Gareth Bale  #Stephen Curry  #Best Champions League  #Paul Pogba  

Popular Users

#Joey7Barton  #hunterpence  #RealSkipBayless  #RobGronkowski  #BrunoMars  #steveaustinBSR  #dougferguson405  #SrBachchan  #nyt4thdownbot  #ArianaGrande  #cnnbrk  #MariaSharapova  #DanicaPatrick