Hapa kuna goli la Edmund John lililotengenezwa na George Mpole na kuna goli la George Mpole mwenyewe likiwa ni la 15 ...
Magoli mawili kutoka kwa George Mpole na Edmund John yameipa ushindi wa 2-0 Geita Gold dhidi ya Biashara United katika ...
Ni ushindi wa 2-0 iliyoupata Geita Gold FC dhidi ya Dodoma Jiji, mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba ...