Ni katika dimba la Manungu mkoani Morogoro, ambapo Ruvu Shooting imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kuwalaza mabao 2-1 wenyeji wao Mtibwa Sugar na kupanda mpaka nafasi ya saba ya msimamo wa VPL ikifikisha alama 23, nyuma ya wapinzani wao Mtibwa wenye alama 27 kwenye nafasi ya sita
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 SIMBA SC wameshindwa kuutumia vizuri nafasi ya kucheza nyumbani, baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Lipuli ya Iringa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Sare hiyo inamaanisha Simba SC inaendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 23 baada ya mechi 11, ikiwazidi kwa pointi mbili tu mabingwa watetezi, Yanga ambao nao jana walilazimishwa sare ya 1-1 na Tanzania Prisons Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliochezeshwa Abdallah Kambuzi wa Shinyanga, aliyesaidiwa na Khalfan Sika wa Pwani na Vincent Mlabu wa Morogoro iliwachukua dakika 15 tu Simba kupata bao la kuongoza, lililofungwa na kiungo wake mkongwe, Mwinyi Kazimoto Mwitula. Kazimoto alifunga bao hilo baada ya kupokea pasi ya kiungo mwenzake, Muzamil Yassin mbele ya mstari wa kuugawa Uwanja na kutembea nayo hatua mbili kabla ya kumtungua kwa mpira wa juu kipa wa Lipuli, Agathony Mkwando aliyetokea kujaribu kuokoa. Simba ilipata bao hilo ikitoka kupoteza nafasi tatu nzuri za kufunga mabao kupitia kwa nyota wake John Bocco, Shiza Kichuya na Muzamil Yassin. Lipuli walifanikiwa kusawazisha bao hilo dakika nne baadaye kupitia kwa Nahodha wao, Mghana Asante Kwasi aliyefunga kwa shuti la mpira wa adhabu. Baada ya baio hilo, timu zote ziliendelea kushambuliana kwa zamu, lakini ni ndiyo waliotengenewza nafasi nyingi na kushindwa kuzitumia. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 SIMBA SC wameshindwa kuutumia vizuri nafasi ya kucheza nyumbani, baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Lipuli ya Iringa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Sare hiyo inamaanisha Simba SC inaendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 23 baada ya mechi 11, ikiwazidi kwa pointi mbili tu mabingwa watetezi, Yanga ambao nao jana walilazimishwa sare ya 1-1 na Tanzania Prisons Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliochezeshwa Abdallah Kambuzi wa Shinyanga, aliyesaidiwa na Khalfan Sika wa Pwani na Vincent Mlabu wa Morogoro iliwachukua dakika 15 tu Simba kupata bao la kuongoza, lililofungwa na kiungo wake mkongwe, Mwinyi Kazimoto Mwitula. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...
Lawrence Owino scored a Hat-trick as Ulinzi walloped Ports of Djibouti 9-0 in their second group c match of the on-going CECAFA club cup in Morogoro Tanzania. Stephen Waruru and Vincent Onyango each scored twice to give the military side the decisive win. Torome Tirike has the details from Morogoro.