Content removal request!


MAGOLI YOTE: SIMBA VS LIPULI FC 1-1

Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 SIMBA SC wameshindwa kuutumia vizuri nafasi ya kucheza nyumbani, baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Lipuli ya Iringa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Sare hiyo inamaanisha Simba SC inaendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 23 baada ya mechi 11, ikiwazidi kwa pointi mbili tu mabingwa watetezi, Yanga ambao nao jana walilazimishwa sare ya 1-1 na Tanzania Prisons Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliochezeshwa Abdallah Kambuzi wa Shinyanga, aliyesaidiwa na Khalfan Sika wa Pwani na Vincent Mlabu wa Morogoro iliwachukua dakika 15 tu Simba kupata bao la kuongoza, lililofungwa na kiungo wake mkongwe, Mwinyi Kazimoto Mwitula. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...