Leo April 07/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea 🏟Katika Dimba la Mkwakwani Tanga🔥🔥ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal Union dhidi ya Mabingwa Watetezi Simba Sc…. Itakuwaje leo Mugalu, Sakho Kufanya kama walivyofanya Kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika??.. Tusubiri Kipute Dakika 90 Kuamua mechi…. Mpenja Tv tupo hapa Uwanja wa Mkwakwani Tanga Kukuletea kila nukta ya jambo litakalojitokeza kwenye mchezo huu.... Baki na sisi, Asante kwa Kutuchagua Mpenja Tv #Simbasc #coastalunion #CoastalUnionvsSimbasc #MkwakwaniStadium #SimbaSc #MpenjaTv

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1
#mpenjatv #hajimanara #millardayo #wasafimedia #yanga #diamondplatinumz #htmnews #simba #yanga #yangatv #azamtv #azamfc #yangasc #mkwakwani #cloudsmedia #subscribe kwa taarifa nyingi zaidi..ccc..2022
Goli pekee la mkwaju wa penati kutoka kwa Salum Kihimbwa limeipa Mtibwa Sugar pointi tatu muhimu ugenini dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga.
Coastal Union imekuwa timu ya kwanza kuchukua pointi tatu mbele ya Mbeya City msimu huu kwa kuitandika mabao 3-2, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Mkwakwani jijini Tanga. Magoli mawili ya Coastal yamefungwa na Abdul Suleiman Sopu moja likiwa ni penati na lingine likifungwa na Haji Ugando wakati magoli ya Mbeya City yakifungwa na Juma Liuzio pamoja na Richardson Ng'ondya kwa mkaju wa penati.

Wagosi wa Kaya, Coastal Union wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliochezwa Desemba 5 kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Magoli ya Coastal Union yamefungwa na Vicent Abubakar dakika ya 2 pamoja na Aman Kyata dakika ya 76 huku Mbeya kwanza wakipata goli lao kupitia kwa William Edgar dakika ya 48