Baraka Mpenja achambua ubora wa majembe mapya Simba, Yanga | Mutale ni SGR mtupu? amtaja Chama
Baraka Mpenja achambua ubora wa majembe mapya Simba, Yanga | Mutale ni SGR mtupu? amtaja Chama

Mchambuzi na Mtangazaji wa soka, Baraka Mpenja ametoa mtazamo wake kuhusu nusu fainali ya Ngao ya Jamii ya Dabi ya Kariakoo itakayopigwa kesho Agosti 8, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku akisisitiza dabi hiyo huwa haitabiriki, lakini anaona itaamuliwa na eneo la kiungo. Hata hivyo, Mpenja amesema wachezaji wapya watano au sita waliosajiliwa msimu huu na Simba wanaweza kuanza kikosi cha kwanza, lakini kwa upande wa Yanga haoni mabadiliko makubwa kwani kikosi kinaweza kuwa kile kile, huku akimpa Prince Dube nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza cha timu hiyo. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



ULIVE: YANGA DAY MOJA KWA MOJA KUTOKA BENJAMIN  MKAPA/ YANGA SC (0) VS (1)  RED ARROWS FC
ULIVE: YANGA DAY MOJA KWA MOJA KUTOKA BENJAMIN MKAPA/ YANGA SC (0) VS (1) RED ARROWS FC

Ungana nasi katika kuyang'amua yaliyojiri kwenye ulimwengu wa michezo. U LIVE ni kila siku kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa 1:00 usiku. Tunakuweka Karibu na Michezo.



🔴#Live: YANGA WALIPIZA KISASI - CHEKI HALI ILIVYO KWA MKAPA YANGA DAY - NYOMI LA KUTISHA MAPEMA TU
🔴#Live: YANGA WALIPIZA KISASI - CHEKI HALI ILIVYO KWA MKAPA YANGA DAY - NYOMI LA KUTISHA MAPEMA TU

🔴#Live: YANGA WALIPIZA KISASI - CHEKI HALI ILIVYO KWA MKAPA YANGA DAY - NYOMI LA KUTISHA MAPEMA TU Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



Simba SC 2-0 APR FC | Highlights | Simba Day 03/08/2024
Simba SC 2-0 APR FC | Highlights | Simba Day 03/08/2024

Debora Fernandes na Edwin Balua ndiyo waliotikisa nyavu, Simba ikiitandika APR FC ya Rwanda magoli 2-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki kuhitimisha sherehe za kilele cha #SimbaDay2024 ndani ya Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.



KUTOKA KWA MKAPA ELIE MPANZU AONEKANA UWANJANI AKIFANYA MAZOEZI,KIBU DENIS NA KRAMO WAPO UWANJANI
KUTOKA KWA MKAPA ELIE MPANZU AONEKANA UWANJANI AKIFANYA MAZOEZI,KIBU DENIS NA KRAMO WAPO UWANJANI

tafrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #numeroyapastorntambabazi0788554028 #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #sports #sports #sports #sports #kigooco #kigooco #kigooco #africa #africa #africa #afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambakigooco #kigooco #africa #africa #africa #afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #gt #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuz #uchambuzi #sports #sports#afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague ##afrobeat #afrtobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimbatg #africanfootballleaguebazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #sports #sports#afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #news #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #jdg #utchambuzi #sports #sports #sports #sports #kigooco #mi




« Previous Next »


Popular Tags

#Thomas Muller  #Best Champions League  #Football Skills  #New York Knicks  #Shaquille O'Neal  #Los Angeles Lakers  #Shaquille O'Neal  #Anthony Davis  #Best Ball Controls  #Paul Pogba  

Popular Users

#SteveNash  #MieshaTate  #CNN  #MichelleDBeadle  #TheRock  #Joey7Barton  #AdamSchefter  #ATLHawks  #richarddeitsch  #JayBilas  #KingJames  #WWE  #rioferdy5  #BeingSalmanKhan  #BrunoMars