Highlights | Yanga SC 1-0 JKT Tanzania - VPL 28/11/2020
Highlights | Yanga SC 1-0 JKT Tanzania - VPL 28/11/2020

Yanga imeitandika JKT Tanzania bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Mfungaji wa goli hilo pekee ni Deus Kaseke akimalizia pasi ya Yacouba Sogne. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Goli la Deus Kaseke | Yanga 1-0 JKT Tanzania - VPL 28/11/2020

Simba (0-1) Ruvu Shooting | Bao la Ruvu latonesha kidonda cha Mnyama akipoteza mechi mbili mfululizo
Simba (0-1) Ruvu Shooting | Bao la Ruvu latonesha kidonda cha Mnyama akipoteza mechi mbili mfululizo

SIMBA 0-1 RUVU SHOOTING: Mnyama Simba SC leo amekutana na kichapo kingine kwenye ligi kuu Tanzania Bara, safari hii wakipigwa bao 1-0 na maafande wa Ruvu Shooting baada ya kile cha 1-0 kutoka kwa Tanzania Prisons katika mchezo uliopita. Mfungaji pekee wa bao la Ruvu ni Fully Zullu Maganga dakika ya 36, mechi ikipigwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Goli la Burundi | Tanzania 0-1 Burundi - Mechi ya Kirafiki 11/10/2020
Goli la Burundi | Tanzania 0-1 Burundi - Mechi ya Kirafiki 11/10/2020

Timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars imepoteza mchezo wake wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Burundi kwa kichapo cha bao 1-0. Mfungaji wa bao hilo pekee ni Saidi Ntibazonkiza dakika ya 85 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Mashabiki wa YANGA Wafunguka "Kaseke, Nchimbi Wapambane Kama Wenzao"
Mashabiki wa YANGA Wafunguka "Kaseke, Nchimbi Wapambane Kama Wenzao"

VIGOGO, Yanga SC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Tanzania Prisons ya Mbeya katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Emmanuel Mwandembwa wa Arusha aliyesaidiwa na Mohamed Mkono na Arnod Bugado wote wa Tanga, Tanzania Prisons walikuwa wa kwanza kupata dakika ya saba, mfungaji Lambert Sibiyanka akimalizia pasi ya Jeremiah Juma. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Goli pekee la Namungo FC likiipa ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Singida United
Goli pekee la Namungo FC likiipa ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Singida United

Ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Ligi mjini Singida, mfungaji akiwa ni Zingamasebo Steven. Tazama Taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media&hl=en_US Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

MWADUI FC 2-1 GEITA GOLD FC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (8/6/2019)
MWADUI FC 2-1 GEITA GOLD FC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (8/6/2019)

Timu ya Mwadui FC imefanikiwa kusalia Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga Geita Gold FC magoli 2-1 kwenye mchezo wa mtoano (playoff) uliopigwa kwenye Uwanja wa Mwadui Complex mkoani Shinyanga Mwadui ilikuwa ya kwanza kupata bao kupitia kwa mfungaji bora wa klabu hiyo Salim Aiyee dakika 33 kabla ya Baraka Jerome kusawazisha dakika 50. Wakati jahazi la Mwadui likielekea kuzama, dakika ya 90 Salim Aiyee akaiokomboa timu yake kwa kuaindikia goli la pili goli ambalo lilimaliza ndoto ya Geita kucheza ligi kuu

MAGOLI YOTE: MWADUI FC 2-1 GEITA GOLD FC; (PLAYOFF - 08/06/2019)

« Previous Next »

Popular Tags

#Paul Pogba  #Shot Goals  #Neymar  #James Harden  #Kawhi Leonard  #Best Goals  #Football Skills  #Paul George  #Miami Heat  #New York Knicks  

Popular Users

#cesc4official  #rolopez42  #AdamSchefter  #ladygaga  #neymarjr  #BaileyLAKings  #CNN  #ochocinco  #DeAndre  #josecanseco  #TheChristinaKim  #NASA  #JJWatt  #MariaSharapova